Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof.William Mwegoha, akikabidhi vifaa vya msaada vilivyotolewa na Jumuiya ya Chuo Kikuu mzumbe

Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Maendeleo Dkt.Lulu Genda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa zoezi la kupanda miti wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake.

.

Baadhi ya washiriki ikiwemo meza kuu wakifuatilia mada zilizokuwa zinatolewa na wahadhiri mbalimbali wakati wa Kongamano la kumbukumbu ya Mwal.Nyerere lililofanyiak novemba 10,2021 hapa Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro.

CONTACTS

The Director,
Institute of Development Studies,
P.O.Box 88,
Mzumbe, Morogoro.
Telephone : +255742762012,
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.,
Website: ids.mzumbe.ac.tz